Deuteronomy 28:1

Baraka Za Utiifu

(Walawi 26:3-13; Kumbukumbu 7:12-24)

1 aKama ukimtii Bwana Mungu wako kwa bidii na kufuata amri zake zote ninazokupa leo kwa bidii, Bwana Mungu wako atakuweka juu ya mataifa yote katika dunia.
Copyright information for SwhNEN